Tuesday, July 3, 2012

HUYU MTOTO NA WATU WA CHADEMA JAMANI

Huyu mtoto ameanza mapema haya mambo, ni mwanafunzi tu huyu aliyemaliza mafunzo ya utangazaji hapa Tanzania E. College na sasa yuko hukooooooo Songea chanali moja laitwa Jogoo FM, ameshaingia kwenye siasa sijui maana huwa wanaanzaga hivi hivi, ni haka keupe keupe kidogo kapo na KATIBU UENEZI MKOA WA RUVUMA CHADEMA, ona kanavyojiamini eti, inabidi tupate undani je kulikuwa na biashara gani hapa, ukitaka kupata ukweli we mrukie hewani kwa namba 0654898001, mwenyewe ataongea.

1 comment:

  1. Anaimalisha umoja na mshikamano katika vyama vyetu vya siasa Tanzania.....

    ReplyDelete