Monday, July 23, 2012

CHRISTOPHER KOMBA, MOJA YA TUNDA YA TANZANIA E. COLLEGE

Kijana wa TEC akiwa anawakilisha uzuri sana huko Songea ndani ya JOGOO FM, kwa wale wanaokuwa maeneo ya Songea wasisite kumdaka hewani na kipindi cha Hali ya Hewa pia DIRA ZA KIMATAIFA.
Kaz ni kaz, haujalishi hata kuduwaa katika kujiandaa na kipindi kijacho.
Kijana Kazini, siye wana TANZANIA E. COLLEGE twamtakia swaum njema!

2 comments:

  1. hii ni moja ya mafanikio yetu kutokana kile tulichokipata kutoka TANZANIA .E. COLLEGE

    ReplyDelete