Tuesday, November 6, 2012

POLE SANA USTAADH SHOMARI.

Mungu akupe roho ya imani kwa msiba wa baba mlezi wako uweze kupita katika kipindi hiki kigumu,
unafahamu zaidi yetu umuhimu wa mzazi wako huyo ambapo hata sisi tuko pamoja nawe katika kipindi hiki hadi hapo utakapokuwa umevuka, tunakutakia safari njema kuelekea huko Morogoro kwa shughuli nzima za mazishi na tunaamini mwenyezi mungu atakutangulia na kukusimamia hadi utakapokuwa nasi tena huku Dar es salaam, huna haja ya kusikitika kwa kuwa,
innalillah lainnalillahi laajuuun!