Saturday, June 25, 2016

KARIBU CHUONI KWA MUHULA HUU

TANZANIA EDUCATION COLLEGE (TEC+)
MUHULA HUU MPYA WA 2016 + AJIRA
CHUO KINA USAJILI WA VETA NA KUTAMBULIKA NA NACTE.
JIUNGE SASA KWA NAFASI HIZI ZA UPENDELEO.
NGAZI: DIPLOMA(miaka miwili), CERTIFICATE (mwaka mmoja) na BASIC CERTIFICATE(miesi sita -mitatu)

KOZI ZETU:
*JOURNALISM (uandishi habari)
*BROADCASTING (utangazaji Radio & TV)
*LAW (sheria)
*BUSINESS ADMINISTRATION (biashara)
*HUMAN RESOURCES (ustawi jamii)
*CLEARING & FORWARDING (bandarini au viwanja vya ndege)
*NURSERY TEACHERS (ualimu chekechea)
*HOTEL MANAGEMENT (hotelia)
*COMPUTER COURSES ZOTE.

KUHUSU CHUO:
>Distance Learning kwa kozi zote (Elimu kwa masafa)
>Field au Ajira hutafutwa bure ndani ya Tanzania tu.
>Ujasiriamali, Kompyuta na mawasiliano ni bure.
>Mandhari rafiki kwa elimu ya kisasa.
>Madarasa ya jioni yapo na kozi fupi zipo.
>Hosteli za kisasa na nafuu chuoni kwa jinsia zote.
>Huduma nyingi, gharama kidogo na za awamu.
>Gharama ya kujiunga ni 20,000/=.
>Vifaa vya kisasa vya kujifunzia kwa kozi zote.

Tembelea: www.elimutanzania.blogspot.com
AU
FIKA KIMARA BARUTI, DAR ES SALAAM.
Kwa mawasiliano ya masaa 24:
0714 670 490
0754 52 52 10
0786 22 33 43 (whatsApp & viber).

Wednesday, January 20, 2016

MUHULA MPYA 2016

Heri ya mwaka mpya na hongereni kwa kumaliza mwaka 2015 salama, tunawkaribisha wote Tanzania Education College kuungana nasi katika muhula mpya wa mwaka 2016, tunaanza kutoa mafunzo katika kozi zetu tunazozitoa hapa chuoni. 
Zifuatazo ni Kozi zinazofundishwa hapa kwetu kuanzia Januari hii: 
-Business Admistration
-Human Resources 
-Clearing and Forwarding
-Journalism 
-Broadcasting
-Hotel Management
-Nursery Teachers
-Law
-Computer..
Tumeboresha mafunzo yote tunayoyatoa na tumeongeza wahadhiri wenye uwezo mkubwa wa kufundisha na kueleweka vizuri na wanafunzi.
Ada zetu ni zile za awamu zilizopita na wanafunzi wanaweza kulipa kwa awamu kwa uwezo aliokuwa nao,  tunafanya hivi ili kila mtu aweze kupata elimu kutoka kwetu. Pia chuo chetu kinatoa ngazi ya Astashahada  na Stashahada, kwa Stashahada tunatoa mafunzo ya miaka miwili na kwa Astashahada ni mwaka mmoja ingawa pia huwa tunapokea wanafunzi wenye matokeo mabaya kabisa kwa ajili ya kuwapa uwezo wa kujiunga na ngazi za juu.
Baada ya kumaliza masomo chuo kinawatafutia field wanafunzi wote watakao kuwa wamehitimu.
Ajira ni lazima kwa kila mwanafunzi atakayefanya vizuri katika masomo yake.

Tunawakaribisha wote kujiunga nasi kwani nafasi ni chache.

Imetolewa na
Mary Lucas Mfinde.
Afisa Uhusiano,
TANZANIA EDUCATION COLLEGE

Friday, July 31, 2015

PARTIAL FINAL EXAMINATIONS RESULTS JULY 2015

HOTEL DEPARTMENT
NO.
EXAM NUMBER
FO
HK
F BS
COM.
FP
1.
TEC/HMC/ 776/01
44
38
34
39
41
2.
TEC/HMC/789/04
53
50
37
34
49
3.
TEC/HMC/806/06
54
58
53
62
57
4.
TEC/HMC/803/08
30
33
25
28
30
5.
TEC/HMC/797/09
45
49
48
44
39
6
TEC/HMC/795/ 18
47
21
30
12
44


NURSERY TEACHERS DEPARTMENT (CERTIFICATE)
NO.
EXAM NUMBER
CUR.
ADM
MUS
COM
PSY
PHI
1.
TEC/NTC/784/03
48
21
24
43.1
48
28
2.
TEC/NTC/782/05
70
69
56
59.1
64
55
3.
TEC/NTC/796/07
55
26.1
47
49
40
27
4
TEC/NTC/792/10
72
70.1
77
87
52
78
5
TEC/NTC/808/11
79
85
87
91
72
77
6
TEC/NTC/829/12
57
53.1
51
42
40
38
7
TEC/NTC/828/19
54
43
44
50.2
12
25.1
8
TEC/NTC/788/02
57
30
44
59
49
68
9
TEC/NTC/823/20
54
65
61
64
43
60


LAW DEPARTMENT
NO
EXAM NUMBER
CONS
LL
FAM
BUS
1.
TEC/LDC/793/16
36
74
65
62
2.
TEC/LDC/802/18
53
55
28
41
3.
TEC/LDC/794/17
65
73
32
55
4
TEC/LDC/799/19
43
58
52
55
5
TEC/LDC/798/14
44
66
76
78

Sunday, January 11, 2015

MUHULA MPYA WA MASOMO WA 2015

Muhula mpya wa masomo kwa kozi za Utangazaji, Uandishi Habari, Law (sheria), Clearing &Forwarding, Ualimu Chekechea, Human Resources, Hoteli, Business Administration.
KOZI ZOTE NI KWA KIWANGO CHA BASIC CERTIFICATE, CERTIFICATE NA DIPLOMA.
BADO TUNASAJILI WANAFUNZI WAPYA KWA MUHULA WA APRILI 2015.
Karibuni sana!
TEC, Employment Solution!