Thursday, August 21, 2014

muhula wa Septemba!

Karibu katika muhula wetu mkuu wa Septemba ya kila mwaka, uandikishaji na usajili wa wanafunzi wapya bado unaendelea na nafasi za bweni pia zinakaribia kukaa hivyo wahi nafasi yako sasa, jionee utofauti katika mafunzo kwa vitendo katika nyanja mbalimbali kama Utangazaji, Uandishi habari, Utawala(Ustawi jamii), Sheria, Hoteli, Utalii, Ualimu chekechea na Bandari.
Karibu uwe mmoja wetu.