Friday, March 8, 2013

MAJEMBE YA KAZI!


Tanzania Education College haiendi bila muunganiko huu ingawa tumbo nalo ni la kuzingatia, 
SEKESEKE na bibie CECYLIA nao wame-shine jamani, .........

NDIO MAISHA YENYEWE HAYO..

Kitabu kwa kwenda mbele na mwendo huo huo msiachie vijana, TEC hiyo ndugu zangu.

KWETU MBALI

 Karibuni Dar es salaam jamani, hii ndio Tanzania Education College ambapo hukutanisha jamii mbalimbali maana hawa nao wametokea mbali eti, Leka dutigite.......
Wakati mwingine mchanganyiko wa kutosha humu darasani, hapo kuna Kigoma, Dodoma, Morogoro hata huko Rufiji pia, karibuni nanyi Tanzania Education College.