Wednesday, June 27, 2012

Broadcasting class yani daah......

Ajabu na kweli eti wanafunzi wa kozi ya uandishi wa habari wamepewa kazi na mwalimu wakaishia kupiga stori darasani, walipoambiwa wakusanye sasa ndio duuuuuuuh kila mtu anataka karatasi, hivi ndio wote tulivyo kweli????

2 comments:

  1. kaka waambie huku kitaa mambo sio lelemama wakaze buti la sivyo.....nway wape shavu wana ipo siku nitakuja kuwapa somo

    fadhili athumani

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli sitosita kuendelea kukishukuru Chuo hiki TEC mara kwa mara misingi ambayo mlituwekea wakati tukisoma,dats y leo hii nafurahia ajira niliyoipata Bomba FM Radio 104.0MHz - Mbeya Tanzania.

    Unajua siku zote mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya Shukrani sana Mkuu wa Chuo,Walimu na Madam kwa misingi mizuri yenye morali ya kutosha.

    Greyson Salufu Chatanda a.k.a Chris Bee
    Bomba FM Radio 104.0MHz
    Mbeya - Tanzania!!

    ReplyDelete