Thursday, October 4, 2012

MAFANIKIO MEMA VOICE B NA RICKIE!

 SAUTI BYEGO, VOICE B....
RICHARD KADURI, RICKIE....

 
Baada ya mafunzo ya nadharia yaliyotiwa chachu na uingiaji wa studio kujifua kwa ajili ya teknolojia ya habari, hatimaye vichwa viwili hapo juu vimeondoka alfajiri ya leo kwenda kuripoti kwa ajili ya kujifunza zaidi ndani ya studio kubwa zilizopo Njombe za UPLANDS FM, chuo chetu kinawatakia mafanikio mema kwa huko waendako na naamini wataenda kukifanya kile walichoagizwa na kutekeleza yote yanayostahili, tupo nyuma yao na tutazidi kuwapenda na kuwakumbuka zaidi kwa mengi tuliyoelekezana, mungu awasimamie na tunawamiss sana hasa Rickie kwa mengi yako ingawa Voice B nawe hukunyimwa, pole Rickie kwa msiba wa kuibiwa charger ya laptop lakini tunaamini umeshapata nyingine, safari njema.

No comments:

Post a Comment