Thursday, October 4, 2012

POLE KWA MSIBA Ndg. MAKALA Daniel.

Pole sana ndugu yetu mpendwa kwa msiba mkubwa wa dada yako uliokukuta na kwa sasa unahudhuria shughuli nzima huko, tunaamini utamaliza salama na kurudi tena jijini Dar es salaam, umalize pia salama mazishi kwa hiyo tarehe 6 Oktoba 2012, tuko nyuma yako ingawa sisi tulimpenda dada ila mungu amempenda zaidi, amen!

No comments:

Post a Comment