Tuesday, October 16, 2012

TUNAENDELEA KUPOKEA WANAFUNZI KWA MUHULA WA NOVEMBA 2012.

Kama kawaida ya chuo chetu cha Tanzania E. College, inapofika mwezi Novemba huwa tunafumuka na ofa kibao kwa kozi zetu zote, ona hii sasa, unasoma kwa nusu bei halafu raha zaidi hupotezi muda mrefu darasani ila eneo la kazi ndipo unapostahili, tukupe kipi tena zaidi ya hiki?
Kozi ya mwaka mzima inasomwa kwa miezi mitatu na unamaliza na ajira yako, kozi ya miezi sita ndio kabisaaaaaaaaa, karibu ujiunge ujionee tofauti katika ufundishaji, huduma na pia utekelezaji wa haya tuyasemayo,
waliotangulia wanasema,
Imetolewa na MKUU WA CHUO.
TANZANIA E. COLLEGE, NI SULUHISHO LA AJIRA!!!!1

No comments:

Post a Comment