Monday, October 8, 2012

MUHULA MAALUM WA KOZI FUPI FUPI!

Mkuu wa chuo cha TANZANIA EDUCATION COLLEGE anawakaribisha wahitimu wote wa daraja lolote katika kujiunga na kozi fupi katika taaluma zifuatazo:
-Clearing & Forwarding miezi mitatu.
-Hotel Management miezi miwili.
-Kozi ya Kompyuta miezi miwili.

Ni daraja lolote la elimu ya awali tunapokea kwa kozi hii maalum.
Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 watapewa kipaumbele.

No comments:

Post a Comment