Tuesday, June 17, 2014

MUHULA MPYA WA JUNI - JULAI

Kama ilivyo kawaida ya chuo chetu hasa ifikapo mwezi JUNI kwa  kila mwaka kukaribisha muhula mpya wa masomo, ndivyo ilivyo kwa muhula huu ambapo wanafunzi toka mikoa mbalimbali nchini wameanza kuripoti kwa ajili ya kuanza safari yao ya mafanikio katika kujiajiri na kuajiriwa chini ya madereva thabiti waliopo hapa chuoni, uthibitisho umetolewa mara kadhaa na wanafunzi husika waliohitimu hapa.

No comments:

Post a Comment