Friday, December 21, 2012
Wednesday, December 12, 2012
TAARIFA KUHUSU MSIMU WA LIKIZO
Tanzania Education College inapenda kuwapa mkono wa pongezi wanafunzi wote ambao wanaumalizia mwaka huu wa 2012 kwa mafanikio makubwa juu ya kuongeza uelewa katika vichwa vyao, hili lisingewezekana bila juhudi kubwa inayofanywa kwa mchango kati ya utawala pia waalimu kwa ujumla ambao ni mstari wa mbele katika mafanikio ya hilo, serikali yetu tusingependa kuiacha nyuma katika hili pia, mwaka ulianza na kila mmoja alivuna kile alichopanda na sasa mwaka unakwisha ikiwa wengi wamefanikiwa kutimiza ndoto zao hata si kwa asilimia zote lakini kwa asilimia kubwa, taasisi nyingi za elimu hutumia kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kwa ajili ya mapumziko lakini limekuwa tofauti kabisa na utamaduni wetu, hapa elimu ni kila kitu na tunaitanguliza mbele hadi hapo mwanafunzi atakapohitimisha masomo yake ndipo mapumziko yake yataanza, hivyo basi kwa taarifa hii tunawakumbusha wanafunzi kuwa masomo ya kompyuta yataendelea kwa full time na pia uandishi habari na utangazaji vivyo ambapo mazoezi ya utafutaji habari sehemu mbalimbali yataendelea na studio itakuwa wazi masaa 24 kwa ajili ya watangazaji, kozi ya ualimu chekechea pia nayo itaendelea ingawa kutakuwa na mapumziko madogo kwa siku za sikukuu tu lengwa, Tanzania Education College inawatakia mapumziko mema ya kipindi cha sikukuu wazazi wote na ndugu wa wanafunzi wetu.
Imetolewa na:
MKUU WA CHUO,
TANZANIA EDUCATION COLLEGE.
Imetolewa na:
MKUU WA CHUO,
TANZANIA EDUCATION COLLEGE.
Tuesday, November 6, 2012
POLE SANA USTAADH SHOMARI.
Mungu akupe roho ya imani kwa msiba wa baba mlezi wako uweze kupita katika kipindi hiki kigumu,
unafahamu zaidi yetu umuhimu wa mzazi wako huyo ambapo hata sisi tuko pamoja nawe katika kipindi hiki hadi hapo utakapokuwa umevuka, tunakutakia safari njema kuelekea huko Morogoro kwa shughuli nzima za mazishi na tunaamini mwenyezi mungu atakutangulia na kukusimamia hadi utakapokuwa nasi tena huku Dar es salaam, huna haja ya kusikitika kwa kuwa,
innalillah lainnalillahi laajuuun!
Thursday, October 25, 2012
OFA YA MUHULA WA KOZI FUPI KAMA UNAVYOONEKANA.
TANZANIA EDUCATION COLLEGE
HOLIDAYS SEASON
OFFER
(SHORT COURSES)
PROGRAMS KIT
S/N
|
COURSE NAME
|
COURSE CONTENTS
|
DURATION
|
FEES
|
1.
|
ENTREPRENEURSHIP
(UJASIRIAMALI)
|
-For Small & Medium businesses management.
-Opening Businesses and creativity for growing Business.
-Customer Care & Skills Worldwide
|
2 Months
|
200,000/-
|
2.
|
JOURNALISM & BROADCASTING
(Theory & Practical)
|
-Mass communication,
events management and conflicts resolution, public relations are included for
a journalist also a presenter in a magazine, radio or television but also
photojournalists in achieving their daily coverage.
|
Daily
Practices.
3 Months
|
350,000/-
|
3.
|
HOTEL MANAGEMENT
|
-A student will be able to prepare different dishes, serve
also receiving customers and all maintenance of hotels to 5 star qualities.
|
2
Months + Field
|
250,000/-
|
4.
|
NURSERY SCHOOLS
TEACHING
|
-Ability to manage an academy, kindergarten & Nursery
school, preparing curriculum, arrangement of voice & sound also training.
|
2
Months + Field
|
250,000/-
|
5.
|
COMPUTER
COURSES
(Theory & Practical)
|
-ICT <IT> [Communication
Technology]
|
2
Months
|
150,000/-
|
6.
|
CLEARING & FORWARDING MANAGEMENT
|
-International trade in all stockyards and warehouses are
learnt including time setting in shipment, but law of transportation,
carriages and agents with documentations & declarations, insurance,
communication and full business finance will be well covered.
|
3 Months
|
250,000/-
|
v English
for Communication is included in every session of the above.
v Form IV
leavers for 2012 will have special attention on offers.
v All the
above programs include 5 - 7 days attendance + 2 -7 hours a day.
v Registration 5,000/-
·
Hostel fee 30,000/- per Month.
NB: All payments are done
through our Bank account:
TANZANIA EDUCATION COLLEGE,
Account No: 020803950652,
AKIBA COMMERCIAL BANK.
OR
AIRTEL MONEY (0786 22 33 43),
TIGOPESA (0714 670 490) & MPESA(0754
52 52 10)
QUALIFICATIONS:
Any.
OUR (offer) INTAKES FOR THE ACADEMIC YEAR
2012 - 2013
1st intake
|
2nd Intake
|
3rd Intake
|
5th
November 2012
|
3rs December
2012
|
7th
January 2013
|
P.O.
Box 41852, Tel: 022 242 13 20, Fax:: 022
24213 20,
Mob: 0714 670 490, 0754 52 52 10, 0786 22 33 43,
TEC
HOUSE, Kimara Baruti, Morogoro Road, Dar es salaam.
Weblog: www.elimutanzania.blogspot.com
Reg. No: 157934.
Thursday, October 18, 2012
PROGRAM ZA CHUO KWA 2012 - 2013
S/N
|
COURSE NAME
|
COURSE CONTENTS
|
CERTIFICATE
|
DIPLOMA
|
1.
|
HUMAN RESOURCES
|
-Knowing
and be familiar on solving all employment obstacles, entrepreneurship while
managing, training, law combating employees & employers also relation
among workers in work places.
|
600,000/-
12 Months
|
1,400,000/- + Field
+ Research.
24 Months
|
2.
|
BUSINESS
ADMINISTRATION
|
-All
business particles in small, medium or huge organizations are done, business
communication, law of business and also marketing, purchasing and selling of
products worldwide.
|
600,000/-
12 Months
|
1,400,000/- + Field
+ Research.
24 Months
|
3.
|
JOURNALISM
& BROADCASTING
(Theory
& Practical)
|
-Mass communication, events management and
conflicts resolution, public relations are included for a journalist also a
presenter in a magazine, radio or television but also photojournalists in
achieving their daily coverage.
|
750,000/- + Field +
Daily Practices.
12 Months
|
1,400,000/- + Field
+ Daily Practices + Research.
24 Months
|
4.
|
FULL
HOTEL MANAGEMENT
|
-A
student will be able to prepare different dishes, serve also receiving
customers and all maintenance of hotels to 5 star qualities.
|
345,000/- + Field
6 Months
|
800,000/- + Field
1 Year
|
5.
|
NURSERY SCHOOLS TEACHING
|
-Ability
to manage an academy, kindergarten & Nursery school, preparing curriculum,
arrangement of voice & sound also training.
|
345,000/- + Field
6 Months
|
700,000/- + Field
1 Year
|
6.
|
COMPUTER
COURSES
(Theory
& Practical)
|
-ICT
<IT> [Communication Technology]
|
400,000/-
5 Months
|
800,000/-
1Year
|
-IT
–BOP [Basic Operating Programs]
|
150,000/-
3 Months
|
|||
-SAP [Simplified Accounting Package]
|
160,000/-
2 Months
|
|||
-Graphics
Designing
|
4 Months
200,000/-
|
|||
7.
|
CLEARING
& FORWARDING MANAGEMENT
|
-International
trade in all stockyards and warehouses are learnt including time setting in
shipment, but law of transportation, carriages and agents with documentations
& declarations, insurance, communication and full business finance will
be well covered.
|
450 ,000/-
9 Months
|
700,000/- + Field
12 Months
|
·
Registration
10,000/-
·
Hostel
fee 40,000/- per Month.
NB:
All payments are done through our Bank account:
TANZANIA EDUCATION COLLEGE,
Account
No: 020803950652,
AKIBA
COMMERCIAL BANK.
OR
AIRTEL
MONEY, TIGOPESA & MPESA on below numbers.
QUALIFICATIONS:
Secondary
education and above.
OUR
INTAKES FOR THE ACADEMIC YEAR 2012 - 2013
Mini-intake
|
1st Intake
|
2nd Intake
|
3rd Intake
|
7th November 2012
|
14th January
2013
|
13th May 2013
|
13th September 2013
|
Subscribe to:
Posts (Atom)